Mtalaka wa Nora asaka wenye shepu

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Mtalaka wa msanii mkongwe wa filamu Nuru Nassoro ' Nora', Luqman Nassoro amesema anasaka wasichana warembo na muonekano mzuri kuanzia sura hadi shepu kwa ajili ya kufanya nao kazi.

Msanii mkongwe wa filamu Nuru Nassoro Akizungumza na gazeti hili hivi karibuni, Luqman anayemiliki kampuni iitwayo QV, alisema ameamua kuanzisha kundi la sanaa ambalo ni la kisasa kabisa ambalo litakuwa likiandaa filamu mbalimbali zitakazosaidia ajira kwa vijana.

"Kwa sasa nasaka watu ambao naweza kufanya nao kazi za filamu kupitia kampuni yangu na tutakuwa tunatoa filamu zetu, nawasaka wadada wenye muonekano mzuri, hata wababa na watu wazima kwa ajili ya kuendeleza sanaa yetu, " alisema Luqman.
 
Badala aangalie kipaji,anafikiri kwa kutumia nya

Aaah naona yeye kipaji sio issue as long as una mvuto. Sasa kazi kwetu kina sisi wenye sura na shape za wajomba zetu. Kwa ujinga huu tusahau soko letu la filamu kufika kimataifa, manake wanaangalia sura na shape as if wanatafuta miss tz mweeee
 
Hivii huyu Nora ashaachika mara ngapiii
 
Hivii huyu Nora ashaachika mara ngapiii

Nahisi mara mbili au zaidi coz wa kwanza alikuwaga yule ngwizikulu jilala sijui, huyu luqman ndo wa pili sasa sijui kama aliolewa tena au vipi
 
hiyo kampuni wanaume hawahusiki? kazi kweli kweli!
 
Anaangalia soko jamani,wadau wa filam pia wanachangia....mauzo ya movie aliyocheza wolper&uwoya hayawezi kua sawa na nyamayao&matumaini
 
Nahisi mara mbili au zaidi coz wa kwanza alikuwaga yule ngwizikulu jilala sijui, huyu luqman ndo wa pili sasa sijui kama aliolewa tena au vipi

Kuachika kwa luqman wala simlaumu bibie...wanaume wa kule visiwani ni sheeeeeder.....!
 
Kama suala la shepu amchukue wema na kajala tu,hamna wa kuwafikia bongo move.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…