Mtalaka wa Nora asaka wenye shepu

Mtalaka wa Nora asaka wenye shepu

Hahahhahahahahahhahaha mbavu zangu mie. Kumbe umri wake huwa una-pause eeeh? Hao kina batuli basi wote wapo under 18 according to egyptian calendar

Lolowapi hua anamuota wemaa
 
Aaaah wapi toto la kiafric limeumbika.sikiliza wimbo wa mtoto wa geti kali wa insp. haruna ndio wema kazungumziwa humo.

Ni kweli ameumbika kama ramani ya East Afrika
 
Back
Top Bottom