Mtalaka wa mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi "Sugu", Faiza Ally alijikuta akizuiwa kuingia katika ofisi za RITA jijini Dar es Salaam kutokana na kuvaa mavazi yasiyo na staha.
Askari waliokuwepo ofisi za RITA walimtaka Faiza Ally akabadili vazi na kuvaa linalostahili kuvaliwa katika ofisi ya umma. Baada ya mvutano, alijitokeza msamaria aliyemuazima mtandio ambao alivaa na ndipo aliporuhusiwa kuingia ofisini ili kutimiziwa shida iliyompeleka.
View attachment 668362
Nguo ndefu kbsa hyo,mie nlijua kavaa kipensi au ndio kisa kavaa faiza basi imekua nongwa!! Huyo askari hata mie kanikeraUpumbavu. Sasa hilo gauni lina tatizo gani? Mambo mengine ni wendawazimu na kutaka attention za kipumbavu!
Nguo ndefu kbsa hyo,mie nlijua kavaa kipensi au ndio kisa kavaa faiza basi imekua nongwa!! Huyo askari hata mie kanikera
Kwan hujaona utafauti kabla na alipovaa mtandioUpumbavu. Sasa hilo gauni lina tatizo gani? Mambo mengine ni wendawazimu na kutaka attention za kipumbavu!
Maadili ofisi za umma sketi ivuke gotiUpumbavu. Sasa hilo gauni lina tatizo gani? Mambo mengine ni wendawazimu na kutaka attention za kipumbavu!
Nani anataka attention?
Maadili ofisi za umma sketi ivuke goti
Nimelipenda tumbo la Afande mmamaView attachment 668359 Mtalaka wa mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi "Sugu", Faiza Ally alijikuta akizuiwa kuingia katika ofisi za RITA jijini Dar es Salaam kutokana na kuvaa mavazi yasiyo na staha.
Askari waliokuwepo ofisi za RITA walimtaka Faiza Ally akabadili vazi na kuvaa linalostahili kuvaliwa katika ofisi ya umma. Baada ya mvutano, alijitokeza msamaria aliyemuazima mtandio ambao alivaa na ndipo aliporuhusiwa kuingia ofisini ili kutimiziwa shida iliyompeleka.
Nimelipenda tumbo la Afande mmama
Ha ha ha! Umenifanya nirudi kucheki skirt ya huyo polisi, hilo pozi lake sasa! mie hoooi!Sketi gani sasa hapo? Faiza hajavaa sketi. Mwenyesketi iliyobinuka na kuacha magoti nje ni yule polisi. Shria ya ofisi za uma kwa wafanyakazi wa uma, na si wageni!