Mtalaka wa Sugu azuiwa kuingia ofisi za RITA

Mtalaka wa Sugu azuiwa kuingia ofisi za RITA

Mijitu mipumbavu inatafuta personal interest satisfaction kwa watu kinyume cha sheria. Uonevu huo.

Kwanza haian tofauti na hiyo alovaa yeye. Wewe ukiona askar kaning'iniza tumo hivo na hata kwa kumwangalia tu lazima ujue kuna tatizo mahala. Wivu wa kike!. Puambafu!
Ilikuwa transparent na alikuwa kavaa bikini
 
Hyo hajavuka magoti kabisa pata picha ameangusha cm anaokota afu uko nyuma yake atahaingaika sana
 
View attachment 668359 Mtalaka wa mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi "Sugu", Faiza Ally alijikuta akizuiwa kuingia katika ofisi za RITA jijini Dar es Salaam kutokana na kuvaa mavazi yasiyo na staha.

Askari waliokuwepo ofisi za RITA walimtaka Faiza Ally akabadili vazi na kuvaa linalostahili kuvaliwa katika ofisi ya umma. Baada ya mvutano, alijitokeza msamaria aliyemuazima mtandio ambao alivaa na ndipo aliporuhusiwa kuingia ofisini ili kutimiziwa shida iliyompeleka.
huyo askari inabidi arudishwe kwao akapunguze tumbo.. huyu hawezi hata kukimbiza mwizi.
 
Akili yote ya huyo mwanamke iko hapo tumboni huyo Faiza hilo gauni lina shida gani jaman? mbona huyo askari ni mbulula haswa manina
 
Nguo ilikuwa nyepesi sana kiasi kwamba ilkuwa inaonesha maungo yake ya siri.
Ilikuwa sahihi kabisa kumzuia maana hawa wanawake (japo wanajiita mabinti) ukiwaendekeza watakuja uchi kabisa siku nyingine.
 
Nguo ilikuwa nyepesi sana kiasi kwamba ilkuwa inaonesha maungo yake ya siri.
Ilikuwa sahihi kabisa kumzuia maana hawa wanawake (japo wanajiita mabinti) ukiwaendekeza watakuja uchi kabisa siku nyingine.
Kumbee 😱
 
Aka kanchi kanazidi kuchanganyikiwa Sasa hapo vazi lina shida gani? mbona la kawaida kabisa
 
Huyu sugu nadhani anajuta kumjua faiza,maana kila upupu akifanya faiza sugu lazima atajwe.
 
Ifike mahali watu wajinga waelimishwe kuwa MAADILI NI DHANA TU YA KUFIKIRIKA INAYOTEGEMEA UTASHI WA MTU MMOJA MMOJA.

Huyu bibi atakwambia anatunza maadili ya kitanzania!!! heheeehe

Very ignorant.

Angekuja mzungu hapo na kachupi kake inawezekana huyo mbibi angetoa shkamoo kabisa!!!
 
Back
Top Bottom