Albert Alinanuswe
Senior Member
- Oct 2, 2017
- 196
- 274
Ilikuwa transparent na alikuwa kavaa bikiniMijitu mipumbavu inatafuta personal interest satisfaction kwa watu kinyume cha sheria. Uonevu huo.
Kwanza haian tofauti na hiyo alovaa yeye. Wewe ukiona askar kaning'iniza tumo hivo na hata kwa kumwangalia tu lazima ujue kuna tatizo mahala. Wivu wa kike!. Puambafu!