Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
Kumbw!Nguo ilikuwa nyepesi sana kiasi kwamba ilkuwa inaonesha maungo yake ya siri.
Ilikuwa sahihi kabisa kumzuia maana hawa wanawake (japo wanajiita mabinti) ukiwaendekeza watakuja uchi kabisa siku nyingine.
Jmn mmeambiwa hiyo nguo tatizo haikuwa ufupi bali ni transparent sn kiasi ilikuwa inaonyesha kila kitu,wht do u expect!?Ifike mahali watu wajinga waelimishwe kuwa MAADILI NI DHANA TU YA KUFIKIRIKA INAYOTEGEMEA UTASHI WA MTU MMOJA MMOJA.
Huyu bibi atakwambia anatunza maadili ya kitanzania!!! heheeehe
Very ignorant.
Angekuja mzungu hapo na kachupi kake inawezekana huyo mbibi angetoa shkamoo kabisa!!!
Hawala hana talaka!Alifunga ndoa na sugu lini?
Huo ni utaratibu Ukienda Ofisi za serikali uvae kiheshimaUpumbavu. Sasa hilo gauni lina tatizo gani? Mambo mengine ni wendawazimu na kutaka attention za kipumbavu!
Nimeona mguu tu mengine nawaachieni na ninyi.Ila ana flatscreen
Ova
Hahahaha basi nmekupata mkuuNimeona mguu tu mengine nawaachieni na ninyi.
Pamoja sana mkuuHahahaha basi nmekupata mkuu
Ova
hivi huyu mwanamke hawezi kutambulika yeye kama yeye bila kumuhusisha mheshimiwa mbilinyi?
Define heshima kwanza la sivyo acha kuropoka.Huo ni utaratibu Ukienda Ofisi za serikali uvae kiheshima
Ova