Mtalaka wa Sugu azuiwa kuingia ofisi za RITA

Mtalaka wa Sugu azuiwa kuingia ofisi za RITA

Nguo ilikuwa nyepesi sana kiasi kwamba ilkuwa inaonesha maungo yake ya siri.
Ilikuwa sahihi kabisa kumzuia maana hawa wanawake (japo wanajiita mabinti) ukiwaendekeza watakuja uchi kabisa siku nyingine.
Kumbw!
Nilitaka kushangaa faiza kabisa avae vzr ,ngum sanaaa
 
Ifike mahali watu wajinga waelimishwe kuwa MAADILI NI DHANA TU YA KUFIKIRIKA INAYOTEGEMEA UTASHI WA MTU MMOJA MMOJA.

Huyu bibi atakwambia anatunza maadili ya kitanzania!!! heheeehe

Very ignorant.

Angekuja mzungu hapo na kachupi kake inawezekana huyo mbibi angetoa shkamoo kabisa!!!
Jmn mmeambiwa hiyo nguo tatizo haikuwa ufupi bali ni transparent sn kiasi ilikuwa inaonyesha kila kitu,wht do u expect!?
 
Nguo inapiga picha ukiona live uchi wote uko nje,unafikiri huyo askari haoni hayo mnayofikiria nyinyi.
 
Gauni la faiza halina shida jamani wamemuonea sana tu. Labda angevaa na socks kama huyo afande tumbo -tumbo [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Mimi nadhan tatizo halikuwa ufupi wa nguo, nahisi kama walivyosema wengine kuwa nguo ilikuwa transparent..na kama mnavyojua huyu dada kwake ni jambo la kawaida tuu..
 
Upumbavu. Sasa hilo gauni lina tatizo gani? Mambo mengine ni wendawazimu na kutaka attention za kipumbavu!
Huo ni utaratibu Ukienda Ofisi za serikali uvae kiheshima

Ova
 
hivi huyu mwanamke hawezi kutambulika yeye kama yeye bila kumuhusisha mheshimiwa mbilinyi?
 
hivi huyu mwanamke hawezi kutambulika yeye kama yeye bila kumuhusisha mheshimiwa mbilinyi?

Nadhani ameshindwa kabisa kuachilia jina la mwenzake[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]


4b314cda820b9148f27ba01e9f38af7d.jpg
 
Back
Top Bottom