Jkitamoga Member Joined Jul 25, 2021 Posts 36 Reaction score 11 Jun 22, 2025 #1 Kwa wataalam naomba msaada nina Mtamba wangu Ana umri wa miezi 13 aliingia heat mara ya kwanza mwezi machi . Upi ni umri sahihi wa kumpandisha?
Kwa wataalam naomba msaada nina Mtamba wangu Ana umri wa miezi 13 aliingia heat mara ya kwanza mwezi machi . Upi ni umri sahihi wa kumpandisha?
D Dafu ya Shamba Senior Member Joined Jun 23, 2023 Posts 197 Reaction score 548 Jun 22, 2025 #2 Alipoingia alishika mimba au?
Jkitamoga Member Joined Jul 25, 2021 Posts 36 Reaction score 11 Jun 22, 2025 Thread starter #3 Hakupandwa
D Dafu ya Shamba Senior Member Joined Jun 23, 2023 Posts 197 Reaction score 548 Jun 22, 2025 #4 miezi kuanzia 18 angalau anakuwa amekomaa akipewa matunzo mazuri anapandwa vizuri tu au unatumia njia ya chupa.
miezi kuanzia 18 angalau anakuwa amekomaa akipewa matunzo mazuri anapandwa vizuri tu au unatumia njia ya chupa.
Jkitamoga Member Joined Jul 25, 2021 Posts 36 Reaction score 11 Jun 22, 2025 Thread starter #5 Mjegeje said: miezi kuanzia 18 angalau anakuwa amekomaa akipewa matunzo mazuri anapandwa vizuri tu au unatumia njia ya Nategemea kutumia Dume Click to expand...
Mjegeje said: miezi kuanzia 18 angalau anakuwa amekomaa akipewa matunzo mazuri anapandwa vizuri tu au unatumia njia ya Nategemea kutumia Dume Click to expand...
D Dafu ya Shamba Senior Member Joined Jun 23, 2023 Posts 197 Reaction score 548 Jun 23, 2025 #6 Dume akikisha lisiwekubwa kiumbo kuzidi jike mkuu