Mtambo wa Kichina wa kurusha makombora walipuka na kuua wanajeshi 8 wa Cambodia.

Mtambo wa Kichina wa kurusha makombora walipuka na kuua wanajeshi 8 wa Cambodia.

Kitu yoyote ya kichina usikae karibu nayo, inaweza kukulipukia muda wowote" aliniasa babu yangu mkwezi.
 
Kila kitu wanachofanya China huwaga hawakimalizii,sijui huwa wanawahi kwenda wapi, kwa hiyo msishangae sana. Vitu vyao havikai. Mnakumbuka mwaka 1996 ghala la silaha kule Mbagala lililipuka na kuua watu wengi?
1996 ilitokea mbagala, halafu ikatokea tena 2009?
 
Back
Top Bottom