Kawalala93
JF-Expert Member
- Mar 24, 2015
- 400
- 1,587
Mkuu unamlenga nani humu JF..?ZIFUTAZO NI DALILI ZA MTU AMBAYE ANAENDESHA GARI YA KUAZIMA (SIO YAKE)
1 Anaendesha kwa speed misele misele kibaoooo.
2 Anashika stelingi na mkono mmoja mwingine nje ya mlango.
3 Kumsalimia kila anayepishana naye hata kama hamjuii.
4 Kwenda na gari kwenye harusi halafu anaipark vibaya ili atangazwe(mwenye gari
namba β¦..akatoe gari yake).
5 Kutoa kichwa hadi kifua nje wakati wa kurud nyuma wakati side mirrors zipo.
Ongezea nyingine hapo kama unazikumbuka
Duh noma sana aisee yani shida zote hizo ili tu aonekane ana gari.
unazionaje mkuuNdo hizo tuu