Kawalala93
JF-Expert Member
- Mar 24, 2015
- 400
- 1,587
ZIFUTAZO NI DALILI ZA MTU AMBAYE ANAENDESHA GARI YA KUAZIMA (SIO YAKE)
1 Anaendesha kwa speed misele misele kibaoooo.
2 Anashika stelingi na mkono mmoja mwingine nje ya mlango.
3 Kumsalimia kila anayepishana naye hata kama hamjuii.
4 Kwenda na gari kwenye harusi halafu anaipark vibaya ili atangazwe(mwenye gari
namba …..akatoe gari yake).
5 Kutoa kichwa hadi kifua nje wakati wa kurud nyuma wakati side mirrors zipo.
Ongezea nyingine hapo kama unazikumbuka