Mamndenyi huyu mzee wangu Mtambuzi wala hajaniaga but niliposoma hiili bandiko nikingia kwenye king'amuzi nimehabarishwa mmoja wa wale mabinti alioptutumia picha zake mmoja wapo naye katoweka huko kwao so hatujui kinachoendelea kule alikoenda sina uhakika atarudi au ndio mazima!!!Cantalisia hivi mzee wako alikuaga anakwenda wapi.
Kweli baba huna,
Nimejaribu kupiga kamobitel kake
kuna mdada amepokea,
anacheka kweli kweli kasemaje unajua
...........namujua munamutafuta hii Mtambuzi iko hapa
hapa imepumuzika imechoka sana sana
...............
Kwa habari zilizosambaa huku mtaani ni hivi:
Baada ya LiverpoolFC kupewa vitu adimu na kaundime kisha kwenda kumhadithia Mtambuzi. Mzee mzima akaamua kujitupa uwanjani.
Hakwenda Goma wala nini. Amefichwa maeneo flani.
Picha zitawajia hivi punde.
UTAMU hoyeeeeeeeeee!!!!
hivi na wewe Mzee Mzima unakuwa mkuda jamani umeshaanza kutembea na Bishanga kwenda kwenye vilabu vya pombe?????
atakua kabanwa na majukumu
Lady doctor ukuda wangu uko wapi??? Kwanini tufiche wakati ukweli unafahamika???
Pole sana Mama Ngina, nenda kawafungulie kesi hawa wafuatao:
1. Mmiliki wa Leo Tupo Hapa Pub, kwa kumleta kaundime mjini.
2. LiverpoolFC kwa kumhadithia mambo matamu aliyopewa.
hivi na wewe Mzee Mzima unakuwa mkuda jamani umeshaanza kutembea na Bishanga kwenda kwenye vilabu vya pombe?????