Mtambuzi .................. Taarifa ya kupotea kwa Mtambuzi

Taarifa za uhakika Mtambuzi baada ya kunogewa na wanyamulenge kabadili jina na uraia kabisa,kwa sasa anaitwa Kapimbi Lutako ya Lizombate.
 
Last edited by a moderator:
Mamndenyi mtu mzima hapotei.. Huyo ameingia kambini kwa mazoezi atakaporudi Mama Ngina atafurahia.. Mtambuzi atakuwa mpya kabisa..
 
Last edited by a moderator:
Kuna kundi la limeibuka kule goma linajita KE23 kazi yake ni utekaji wanaume tu bila shaka Mtambuzi ametekwa na kazi kubwa ni kunyoloshwa...hadi unabakia kama muti mukavu.
Cc mzee,mamndenyi,lady doctor,mama ngina,cantalisia
 
Mtambuzi kajiunga na emtwente srii



Mzee mwenzangu Bishanga, nimekamatwa na Uhamiaji ya Huku Rwanda wanadai kwamba mimi siyo raia na hapa napelekwa uhamiaji na huyo mdada kwa mahojiano zaidi..

Nitawajuza kesho yaliyojiri, vuteni subira....
 

Attachments

  • IMG-20130918-00266.jpg
    399.2 KB · Views: 46
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…