Fighting skills zinatofautina kulingana na mazingira. Kifaru anahitaji space ili kutengeneza force ya kutumia pembe, gorilla anahitaji objects aruke hapa, ashike kile akubamize nacho. Katika mazingira ya cage bear na Simba naona wana nafasi. Ila wakiachwa kwa uhuru Simba anakalishwa na Gorilla,Bear sijui itakuaje na Kifaru atasumbua ila atakalishwa na either bear au gorilla.