Mtanange huu nani atatoka mzima?

Hapa polar bear au that gorilla

If the gorilla wins ni kwa sababu he is smart than polar bear

Ila polar bear anajua kitu kimoja tu kiufasaha kuua

Kati ya polar bear au gorilla
 
Fighting skills zinatofautina kulingana na mazingira. Kifaru anahitaji space ili kutengeneza force ya kutumia pembe, gorilla anahitaji objects aruke hapa, ashike kile akubamize nacho. Katika mazingira ya cage bear na Simba naona wana nafasi. Ila wakiachwa kwa uhuru Simba anakalishwa na Gorilla,Bear sijui itakuaje na Kifaru atasumbua ila atakalishwa na either bear au gorilla.
 
Wote watabaki kama walivyo kwa sababu wote hapo ni picha tu.
NB;Gorilla-magilla ni hatari zaidi.
 
Mbona huyo bear ni mrembo jamni.
Kazuri πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…