MTANANGE Simba V/S Coastal Union direct report

MTANANGE Simba V/S Coastal Union direct report

Status
Not open for further replies.
Hahaaa diunation unakimbilia maumivu log baki njiakuu yanga ulematunda ya eden
 
MZUNGUKO WA PILI LIGI KUU TANZANIA KAZI IPO NDANI YA MKWAKWANI SIMBA SC VS COASTAL UNION.
Wakati Simba SC imecheza mechi 12 huku ikishinda mechi 3 , droo 7 na kufungwa mechi 2 ipo nafasi ya 8 katika msimamo wa ligi na pointi 16 kibindoni wapinzani wao Coastal Union wao wamecheza mechi 13 huku wakishinda mechi 4 , droo 5 na kufungwa mechi 4 wapo nafasi ya 7 na pointi 17 .
Ukitazama uwiano kiufundi timu zote zinaonekana kushabihana.
Simba kadroo mechi 7 katika mechi 12 huku Coastal kadroo mechi 5 katika mechi 13, sasa 12-7= 5 wakati 13-5= 8 hapo utaona hakuna tofauti kabisa kwa sababu aliyecheza mechi nyingi ambaye ni coasta l anabebwa na droo ya mechi 5 huku Simba aliyecheza mechi chache anadroo 7 huku akishinda mechi 3 tu! Hapo utaona wote timu zao zinajilinda sana kuliko kushambulia ndio maana wana droo nyingi kuliko ushindi. Coastal kashinda mechi 4 Simba hiyo ndio inawapa tofauti ya pointi 1.
Timu zote zinategemea zaidi viungo wa kati na full backs kuanzisha mashambulizi hivyo utaona mpira mwingi unapigwa kati huku mashambulizi yakiwa ya kushitukiza au kutafuta zaidi ushindi kwa dead balls. Naweza sema Simba SC watakuwa na mtihani kidogo , sidhani kama backline ya Coastal itakubali kupoteza mechi 2 mfululizo. Game ya mwisho Wamefungwa 1-0 na YANGA.
DAKIKA 90 ZITAAMUA
All the best Mnyama mkali kuliko wote!! Wadau Makoye Matale, grafani11, Bantu lady, mkolaj, OKW BOBAN SUNZU daud Mchambuzi, Deo Corleone GENTAMYCINE MKALIKENYA, sembo KikulachoChako kbm Na wadau wote ambao nimesahau kuwataja hapa tunawategemea
Mdau wangu wa nguvu Revocatus Kashaga tupo pamoja sana........macho na masikio ya wapenzi wa soka la ukweli, soka lenye akili, soka la kiufundi, soka la burudani vitahamia pale mjini TANGA waja leo waondoka leo.....kushuhudia mnyama SIMBA anavyokitafuna kitoweo cha Cost Union ndani ya dimba la mkwakwani.......nashauri ambulensi isikae mbali na eneo la tukio kwa maana sio wote wanaweza kuvumilia kushuhudia msiba huu wa kihistoria............VIVA SIMBA SPORTS CLUB................
 
Last edited by a moderator:
Hahaaa diunation unakimbilia maumivu log baki njiakuu yanga ulematunda ya eden

Ha ha ha ha mkuu nyie timu lenu ni kubutua butua tu hakuna mpira pale ngoja uone mpira unavyochezwa leo nitakutafuta baada ya mechi naomba usi logout.
 
ubwabwa wa kibakuli kidogo hamuuwezi, wa kwenye sinia mtauwezea wapi?
Tangu muwabahatishe wagosi wa kaya goli lenu la kwa babu......mnachonga sana.......dawa yenu ipo jikoni inachemka.......
 
Ha ha ha ha mkuu nyie timu lenu ni kubutua butua tu hakuna mpira pale ngoja uone mpira unavyochezwa leo nitakutafuta baada ya mechi naomba usi logout.
Ushindi wao si mpaka waongee na mwamuzi falagha.......
 
Mdau wangu wa nguvu Revocatus Kashaga tupo pamoja sana........macho na masikio ya wapenzi wa soka la ukweli, soka lenye akili, soka la kiufundi, soka la burudani vitahamia pale mjini TANGA waja leo waondoka leo.....kushuhudia mnyama SIMBA anavyokitafuna kitoweo cha Cost Union ndani ya dimba la mkwakwani.......nashauri ambulensi isikae mbali na eneo la tukio kwa maana sio wote wanaweza kuvumilia kushuhudia msiba huu wa kihistoria............VIVA SIMBA SPORTS CLUB................
Simba sisi hatubutui hovyo kama yanga.Yanga wanacheza rugby na sio football.Leo ndio siku ya kuangalia mpira wenye burudani
 
Last edited by a moderator:
Simba sisi hatubutui hovyo kama yanga.Yanga wanacheza rugby na sio football.Leo ndio siku ya kuangalia mpira wenye burudani
Kweli mdau....wapenzi wa soka waje waangalie burudani na sio netiball za ndala pale jangwani............
 
Ha ha ha ha mkuu nyie timu lenu ni kubutua butua tu hakuna mpira pale ngoja uone mpira unavyochezwa leo nitakutafuta baada ya mechi naomba usi logout.
Hayampwa kila LA kheri angaliaa tanga hiyooo usijekuta asbh NGUO zikokwenye maji wanasema wanazitakatisha kama zq escrow bk safe
 
Kwahiyo ulipoleta uzi humu JF ulitaka kuufahamisha umma kuhusu mechi ya raundi ya kwanza au ya pili?

kwan hujaona mwisho nilivyomalizia kwamba coastal hatokubali kufungwa mara mbili mfululizo nyumbani kwake?
 
Soka na masharobaro ni vitu viwili tofauti, umeacha kubana pua studio unakuja kuandika mambo ya uongo humu!
Mechi ya mwisho Simba alicheza na JKT Ruvu na sio Ruvu Shooting kama ulivyodanganya watu wazima.

Vile vile nahodha wa Yanga ni Nadir na sio Nadri, acha kukurupuka bwana mdogo.

hapo nakiri bro kuna mistake
 
Hayampwa kila LA kheri angaliaa tanga hiyooo usijekuta asbh NGUO zikokwenye maji wanasema wanazitakatisha kama zq escrow bk safe
Mkuu hapa nilipo nina presha na mechi ila najua tutashinda japo wagosi watabana sana baada ya kupoteza mechi iliyopita.
 
Katika kuripoti soka ni tofauti mpwa....
Timu inayoanza kuandikwa hiyo ndiyo mwenyeji na inayofuata hiyo ni timu ngeni (visitors team).
Hivyo kwa mechi iliyoripotiwa hata ni lazima Coastal Union itaanza kuandikwa then Simba itafuatia.
Coastal U vs Simba SC.

hata coastal union nao wana move from their home to the stadium jombaa, kwan wanalala uwanjani wale?
hivyo nao ni VISITORS.
 
mikia msipanic,mpira ukiisha kila mtu aongozane na mwenzake mpk hme mambo ya kuzimia na kulala huku mmesimama/kuipita nyumba yako kuingia ya jiran hatutak tena

Huwaga wanasahau hata vyumba vya kubadilishia nguo.
 
Mdau wangu wa nguvu Revocatus Kashaga tupo pamoja sana........macho na masikio ya wapenzi wa soka la ukweli, soka lenye akili, soka la kiufundi, soka la burudani vitahamia pale mjini TANGA waja leo waondoka leo.....kushuhudia mnyama SIMBA anavyokitafuna kitoweo cha Cost Union ndani ya dimba la mkwakwani.......nashauri ambulensi isikae mbali na eneo la tukio kwa maana sio wote wanaweza kuvumilia kushuhudia msiba huu wa kihistoria............VIVA SIMBA SPORTS CLUB................
Tupo pamoja Sana FT Simba 3 coastal 0! Point 3 goli 3
 
Last edited by a moderator:
Mkuu naogopakukwambia ila jipe moyo mtashinda chezeni vyema namabeki amkosi mbili!!awana wafadhiliwa maana sikuhizi so vilakilaki kwa mabeki amkosi bao 2 kusafsha nyota
 
Mkuu naogopakukwambia ila jipe moyo mtashinda chezeni vyema namabeki amkosi mbili!!awana wafadhiliwa maana sikuhizi so vilakilaki kwa mabeki amkosi bao 2 kusafsha nyota

Tuliza boli, mpira siku hizi uwanjani!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom