Mtanange wa Klabu Bingwa Afrika: Al Ahly 5 vs Simba SC 0

Leo ni tabu wakuu, baridi inatusumbua sana.

Hali ya hewa siyo nzuri kabisa.
 
Simba wacheza kinyonge kweli kweli adi huruma
 
Simba wasisahau kuja na Tende,kule Congo walirudi na Vumbi la Congo
 
Mpaka nasikia huruma kwa jinsi mechi inavyoendelea
 
Simba wanacheza mpira wa kariakoo, wanatumia akili ndogo ni pu-pu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…