Hahahaaaa... Mshika mawili moja linamponyokaManara kaenda kuuza vipodozi hko
[emoji375][emoji375]
Leo ni tabu wakuu, baridi inatusumbua sana.
Hali ya hewa siyo nzuri kabisa.
Zisizidi 5 tu jamani, hatutaki aibu ya Taifa.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mmeanza kujitetea mapema
Subiri bac mkuu mechi haijaisha😂😂😂Manula aondoke metacha asajiliwe.