[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bora tunge waacha nkana tu
Kaka umeona na bado, kipindi cha pili wanakamilisha kiganja cha pili.
Anampakia nani wakati wana 5 kikapuni tayari.
Simba kwa nini msisusie tu kipindi cha pili.?
Halafu kocha anafanya nini mpaka sasa? Hata sub moja? Ina maana makosa yote haya hayaoni?
Seriously nimekasirika mno, ingekuwa Yanga ndio inacheza leo ningepata hasara ya TV.
Sent from my iPhone using JamiiForums