Hahaa sub kipindi cha kwanza !?? Ukiona coacher anafanya sub liposuction cha kwanza ... maana huwa kwamba ile plan A imefeli kabisa na matumaini ya plan B ni ya mwanga wa mshumaa kwenye giza totoroooHalafu kocha anafanya nini mpaka sasa? Hata sub moja? Ina maana makosa yote haya hayaoni?
Seriously nimekasirika mno, ingekuwa Yanga ndio inacheza leo ningepata hasara ya TV.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Nyau anakula 12
Soma score boardMbona vyura ndio mnashadadia sana huu uzi? Kwani nyie mnacheza lini?
Au bado mko dimbwini pale jangwani mnaogelea matopeni?