Mtanange wa Klabu Bingwa Afrika: Al Ahly 5 vs Simba SC 0

Mtanange wa Klabu Bingwa Afrika: Al Ahly 5 vs Simba SC 0

Halafu kocha anafanya nini mpaka sasa? Hata sub moja? Ina maana makosa yote haya hayaoni?

Seriously nimekasirika mno, ingekuwa Yanga ndio inacheza leo ningepata hasara ya TV.


Sent from my iPhone using JamiiForums
Hahaa sub kipindi cha kwanza !?? Ukiona coacher anafanya sub liposuction cha kwanza ... maana huwa kwamba ile plan A imefeli kabisa na matumaini ya plan B ni ya mwanga wa mshumaa kwenye giza totorooo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii mechi ni aibu tupu! Simba hamna timu pale wale ni wala bata
 
Msiniulize matokeo
20190202_224332.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Simba mkirudi muende dodoma bungeni kuwambia wabunge wenu kuwa tumepigwa 10.
10-0 I expect 10-0 after 90 minutes
 
Back
Top Bottom