Mtanange wa Klabu Bingwa Afrika: Al Ahly 5 vs Simba SC 0

Mtanange wa Klabu Bingwa Afrika: Al Ahly 5 vs Simba SC 0

Yaani hapa kitaa midaa hiii ni full shangwe, simba inatupaaa burudani kweli kweli
 
Shehat peke yake wa Alhly ana thamani ya 10 Billion wakati Kikosi Cha simba chote Pamoja na kina Manara Pamoja Na Ufisadi wote wa 10% wakati wa Usajili thamani yake Ni 1 billion
 
Mimi naangalia channel wanayotangaza kiarabu raha sana [emoji23][emoji23][emoji23]
 
í ½í¸í ½í¸í ½í¸ Bado moja mtoto atumwe dukani kununua pakti la tatu
 
Hawa jamaa tuko tofauti nao labisa. Ni mbingu na ardhi.
Haiwezekani first eleven ikafungwa na bandari ya kenya alafu tuote kuifunga al ahly. Hata walija hapa kwetu watatupiga bakora hii hii.
Tukubali tu kiwa simba tunacheza sana mpira magazetini. Kina mkude tunawaremba sana. Hiki kikosi ni Okwi pekee ndiye wa kumkubali. Kina chama watazitesa ndanda.
Ukweli mtupu!
 
Back
Top Bottom