hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
Hahaa My ribs ...Ngoja wajeSimba ndio team ya kwanza kufungwa tano kwani?
Tatizo mivyura mingi hapa ni malimbukeni hata mpira hawajui ndio maana wamefurika hapa hata hawatuachii nafasi sisi wana simba tukafanya tactical analysis ya team yetu.
Wanafanya spamming tu kutujazia nzi hapa.
Tokeniii vyuraaa
Sent using Jamii Forums mobile app