Vital 2-2 JS Soura... Wamedroo
Sawa, ila wanavunja sana moyo. Beki wanakabia macho. Hivi hawajajifunza uzembe ule wa kukabia macho kwa vita? Leo wanarudia uzembe ule ule? Ni hawafundishiki au hawawezi?
Mjitahidi sasa.

hilo halina ubishi mkuu