Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpira wa tz .. ni wakwenye media ..kwenye performance huwa hamna kituKiuhalisia Tanzania Bado uwezo wetu upo chini Sanaa,, lakin mashibiki wa Simba au yang ukiwaambia ukweli hawaelewi,, itachukua mda mrefu sana kuweza kufika level za kuleta ushindani,,ujanja ujanja, siasa ujuaji usio Na maana,ushabiki wa kipumbavu ambao hauna tija hautatusaidia mpira sio maneno tuu,,,
Tunasawazisha kipindi cha pili,hii ni kwa mujibu wa babu yangu kutoka sumbawanga!Leo wanapigwa 8,.. labda tu wagome kuingiza team uwanjani sec.half
Sent using Jamii Forums mobile app
Simba ikiongozwa na ushabiki ujinga wa yule mzungu.Kiuhalisia Tanzania Bado uwezo wetu upo chini Sanaa,, lakin mashibiki wa Simba au yang ukiwaambia ukweli hawaelewi,, itachukua mda mrefu sana kuweza kufika level za kuleta ushindani,,ujanja ujanja, siasa ujuaji usio Na maana,ushabiki wa kipumbavu ambao hauna tija hautatusaidia mpira sio maneno tuu,,,
Bado mnashambulia?At least tumeonesha uhai kwa kushambulia kidogo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Simba kachinjwa! Kichwa kimeelekea kiblaAlluah alluah
Kwani unateseka sana mkuu?Mbona vyura ndio mnashadadia sana huu uzi? Kwani nyie mnacheza lini?
Au bado mko dimbwini pale jangwani mnaogelea matopeni?
Am here my, simba sio baba yangu wala mama yangu......[emoji13][emoji13][emoji13]
Hawa jamaa sio wa mchezo, wanatandaza mpira kama Barca aiseeee.
Hawa ndio Waarabu sasa, sio wale wahindi JS Soura.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Simba ina foreigners wangapi walioanza mechi hii? Ukisema mpira wa bongo bado sana maana yake hata hao wageni wanachezea simba ni watz ambao uwezo wao upo chini sana[emoji39][emoji39][emoji39]Kiuhalisia Tanzania Bado uwezo wetu upo chini Sanaa,, lakin mashibiki wa Simba au yang ukiwaambia ukweli hawaelewi,, itachukua mda mrefu sana kuweza kufika level za kuleta ushindani,,ujanja ujanja, siasa ujuaji usio Na maana,ushabiki wa kipumbavu ambao hauna tija hautatusaidia mpira sio maneno tuu,,,