Mtandao gani una bando nzuri kwa USIKU

Mtandao gani una bando nzuri kwa USIKU

renamaizo

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2014
Posts
2,134
Reaction score
3,064
Habar wadau nimekwama hapa

Kuna file lima 60 GB nataka kulidownload halotel 1500 unapata GB 5

Total 18000

Wapi nafuu niende
 
Habar wadau nimekwama hapa

Kuna file lima 60 GB nataka kulidownload halotel 1500 unapata GB 5

Total 18000

Wapi nafuu niende
Zamani nilikuwa naendaga Kilimanjaro hotel naagiza kahawa nafanya download zangu zote za kufa mtu kupitia free WiFi yao.

Siku hizi mahotel ya Bongo wana roho mbaya wanaweka password wanawapa wateja wanaochukuwa room ndio unapewa na access, ila vile vidada vya reception ukiongea nao vizuri vinakupa access.
 
Mkuu bando la usiku ikifika saa 8 ivi mpaka saa 11 linakua halina speed, usije ukanunua kwa mpigo
 
Hiiii halotel haitabirik wanakupa data za kutosha mtandao ukajitafutie mwenyew
 
Habar wadau nimekwama hapa

Kuna file lima 60 GB nataka kulidownload halotel 1500 unapata GB 5

Total 18000

Wapi nafuu niende

Hakuna zaidi ya Halotel mkuu

Labda uka dowee free WIFI
 
Habar wadau nimekwama hapa

Kuna file lima 60 GB nataka kulidownload halotel 1500 unapata GB 5

Total 18000

Wapi nafuu niende
Tuna vifurushi mbalimbali kulingana na mahitaji ya mteja, jiunge Tam tam plus kwa kupiga *150*71#
Karibu sana
 
Tuna vifurushi mbalimbali kulingana na mahitaji ya mteja, jiunge Tam tam plus kwa kupiga *150*71#
Karibu sana
Nyiny ndio hamna kitu zaman nilikuwa nawakubali GB 10 usiku bei chee spidi mkazingua mkapandisha bei mkaona haitosh mkafuta kabisa afu ilo ni shirika la serikal ilibid liwe km linasaidia raia ajabu nyiny pia mnafanya biashara
 
Back
Top Bottom