Mtandao gani wa simu ni salama kwa matuzi?

Mtandao gani wa simu ni salama kwa matuzi?

Mzee wa old school

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2021
Posts
873
Reaction score
1,405
Nisiseme sana....
Najua humu Kuna wataalamu... Nauliza, mtandao gani wa simu (laini ya simu) ni salama kwa Matumizi ambao unatunza faragha za wateja wake?

Mitandai ambayo ipo tz ni;
1.Tigo
2.Vodacom
3.Airtel.
3.Halotel
4... Kama Kuna MWENGINE muoredheshe... Sasa kati ya hiyo ipi salama?
 
Kwa "matuzi" tumia dorco
Ila kwa matumizi nadhani voda ni bora zaidi...

..Ni Hayo Tu!!
 
Nunua satellite phone..
Huitaji line kupiga wa kutuma sms,ni mwendo wa satellite tu kupiga na ku sms
 
Hakuna.
Cha Muhimu Ni kuwa chawa wa viongozi Tu ndo salama yako.
 
hapo nahitaji shule mkuu
 
images (2).jpeg
 
Back
Top Bottom