Mzee wa old school
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 873
- 1,405
Kwa "matuzi" tumia dorcoNisiseme sana....
Najua humu Kuna wataalamu... Nauliza, mtandao gani wa simu (laini ya simu) ni salama kwa Matumizi ambao unatunza faragha za wateja wake?
Mitandai ambayo ipo tz ni;
1.Tigo
2.Vodacom
3.Airtel.
3.Halotel
4... Kama Kuna MWENGINE muoredheshe... Sasa kati ya hiyo ipi salama?
hapo nahitaji shule mkuuNunua satellite phone..
Huitaji line kupiga wa kutuma sms,ni mwendo wa satellite tu kupiga na ku sms
hapo nahitaji shule mkuu