Aliesema anataka kulipwa Kama kariakoo Nani..?!wewe changia unachokijua inatoshaUtalipwa kulingana na eneo uliopo sio kila sehemu wanatoa pesa nzuri.uwe porini unataka ulipwe kama hupo kariakoo dar
Hao wenyewe ni Tigo eneo lipo kakindo,Kagera-Muleba-Kamachumu jamaa alikuwa analipwa laki tano kwa mwezi mnara ulikuwa chini ya kampuni ya vodacom lakini alipewa pesa ya mwanzo ambayo kiasi sijui but kiasi kinatofautiana kulinga na eneo na anayemiliki huo mnara
Ok poa kwa Tigo sijui utaratibu wao uko vipi kakaHao wenyewe ni Tigo eneo lipo kakindo,
Kwani makampuni yenyewe yanamiliki minara yenyewe??Hao wenyewe ni Tigo eneo lipo kakindo,
Yeah makampuni yanapangisha hawajengi minaraKwani makampuni yenyewe yanamiliki minara yenyewe??
Nilidhani wanaomiliki ni HTT halafu wanampa upangaji hayo makampuni ya simu, kama voda, tigo.
Onhoo,kumbe ni kahela mkuuSisi tuna eneo lina mnara wa helios tower lipo ubungo dar es salaam. Tunalipwa milioni 6 kwa mwaka
Onhoo,kumbe ni kahela mkuu
Hao wenyewe ni Tigo eneo lipo kakindo,
Kakudanganyajamaa angu mmoja makao makuu ya nchi, alijengewa nyumba ya kisasa, wakampa na milioni kumi cash, then kila mwezi ananiambia anakula kama 1mil hivi. Kama alinidanganya basi nawe nakupa huo uongo wake
atakuwa kanifanya poyoyoKakudanganya
Mimi sifahamu chochote ndiyo nipo kwenye kujua hao waliokuja wamesema wanataka kuweka mnara wa Tigo Sasa Mimi unadhani hapa ningesemaje ndugu.Uongo. Tigo hamiliki mnara. Bali anapanga kwa Helios tower.
Mnara mmoja wa helios tower ndio unafungwa vifaa vya kampuni zote yaani tigo, voda, airtel wote ni wapangaji wa helios. Ila tigo, voda hawapangi ardhi yako waweke minara wenyewe
Kwa ujuzi wako Malipo yanakuaje Hilo ndiyo muhimu sisi kujuaUongo. Tigo hamiliki mnara. Bali anapanga kwa Helios tower.
Mnara mmoja wa helios tower ndio unafungwa vifaa vya kampuni zote yaani tigo, voda, airtel wote ni wapangaji wa helios. Ila tigo, voda hawapangi ardhi yako waweke minara wenyewe
Kwa ujuzi wako Malipo yanakuaje Hilo ndiyo muhimu sisi kujua
Mmepunjwa! Dalali atakuwa alikuwa cha juu! Kijijini tu kwenye laki 9 kwa mwezi nyie inakuwaje jijini mnalipwa laki 5 kwa mwezi?Sisi tuna eneo lina mnara wa helios tower lipo ubungo dar es salaam. Tunalipwa milioni 6 kwa mwaka