Mmepunjwa! Dalali atakuwa alikuwa cha juu! Kijijini tu kwenye laki 9 kwa mwezi nyie inakuwaje jijini mnalipwa laki 5 kwa mwezi?
jidananye . nyinyi mnaongea story za hear say. mimi naongelea uhalisia, sisi tumepangisha mnara bila dalali mwaka 2006 ndio walitufata home Vodacom. kabla hawajamuuzia HELIOS mnara
demand and supply ndio inapanga bei ya bidhaa yoyote duniani.
wewe ukigoma bei fulani wanaenda kwa jirani yako pia. maana mnara hauna ulazima wa kukaa kiwanja chako. hata kwenye kiwanja cha mwenzako unakaa.
sisi kwa miaka zaidi ya 15 tumepangisha mnara wa simu. najua nachokiongea vizuri. sio wewe unaeleta story za vijiweni.
bei ya kodi ya mnara uliojengwa kariakoo haiwezi kufanana na ubungo. na bei ya kodi ya mnara uliopo ubungo haiwezi kufanana na kodi ya mnara uliopo chanika.
wanafata land value