Tetesi: Mtandao maarufu wa WhatsApp GB hii kitu kitaalamu inakaaje

Mawematatu

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2021
Posts
468
Reaction score
608
Habari za Xmas niende Moja kwa Moja kwenye mada.

Majuzi nilijiunga na mtandao huu. Hapo nyuma nikiwa natumia WhatsApp ya kawaida sikuona hizi mambo....kwa namna WhatsApp GB ilivyo ukiwa online nakuona na ninaambiwa kabisa XY is online. Na mengine mengi.
 
kitambo sana Veta iyo, ni kwamba mtu akiingia 'online' ndiyo inaleta iyo 'toast'
 
Sijui kwa nini sijabahatika kutumia hizi WhatsApp ukiachana na official WhatsApp.
 
Hawa jamaa waendelee kisawazisha

Demu hajib sms.wakatti ameshaiyona.. hii itsaidia kujua walongo wake...

Mmoja nakaa na sms masaa anajifanya sijaijua kumbe naona ameisoma na ameipotezea

Whatsapp GB ni kiboko
 
bado hujajua mengi ya huko[emoji16][emoji16][emoji16].

yaani aliyegundua hiyo kitu alikaa mezani na wasap kulia,telegram kushoto kisha akapata idea ya kitu mseto.

ingawa telegram bado ni bahari ukanda huo.
 
Mmh Ila huyu atatusua punde ...mm kaz yangu ku update tuu
 
Nilishika Simu yake Nika forward sms zote zitumwe na kwangu dah
 
Huyu mwamba foad muda si mrefu Mark Zuckerbag atamchukua maana zile setting za kibabe
 
Hawa jamaa waendelee kisawazisha

Demu hajib sms.wakatti ameshaiyona.. hii itsaidia kujua walongo wake...

Mmoja nakaa na sms masaa anajifanya sijaijua kumbe naona ameisoma na ameipotezea

Whatsapp GB ni kiboko
sasa hv haipatikani sijui shida nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…