Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu,
Aisee sasa hivi mtandao unakuwa slow sana au hamna kinachofanyika kabisaaa mpaka uwashe VPN, kunani?
Wameanza kutest mitambo kutokana na vuguvugu la uchaguzi ama?
Nilizima VPN, kuingia hivyo hivyo hamna kitu kinafanyika mpaka nimewasha tena.
Hii ni kwa mtandao wa Yass.. kuna anayepitia kadhia hii, au ndio ile wachache tunakutana na majanga wengi mko vizuri kwahiyo inaonekana mambo shwari? Devide and Rule!