Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uzi ulioleta wewe si wa tubepesa??😅😅😅Nimeleta uzi jana kulalamikia jambo hili... Nilikua nimeacha kuangalia video za pilau ila jf imefanya nirudi kuzichek tena sababu nimedownload VPN kwajili ya jf nikaona nicheki na video zetu kidogo.
Melo atanifidia kwa hili ☹️
Viongozi na mtandao wa yas vinahusiana Nini???Nchi za Afrika hasa Kusini mwa jangwa la Sahara viongozi wengi wanawaza namna ya kusalia na kupenya kwenye chaguzi.
Hii inapelekea kutumia mbinu nyingi haramu kuhujumu mazingira yanayowapa ugumu kushinda.
Internet kwa Dunia ya Sasa ni hitaji muhimu katika jamii.
Thread 'JamiiForums ina shida gani?' https://www.jamiiforums.com/threads/jamiiforums-ina-shida-gani.2313407/Uzi ulioleta wewe si wa tubepesa??😅😅😅
Akili Yako ndogo haiwezi kung'amua haya mamboViongozi na mtandao wa yas vinahusiana Nini???
Anyway
Nepi imerudiWakuu,
Aisee sasa hivi mtandao unakuwa slow sana au hamna kinachofanyika kabisaaa mpaka uwashe VPN, kunani?
Wameanza kutest mitambo kutokana na vuguvugu la uchaguzi ama?
Nilizima VPN, kuingia hivyo hivyo hamna kitu kinafanyika mpaka nimewasha tena.
Hii ni kwa mtandao wa Yass.. kuna anayepitia kadhia hii, au ndio ile wachache tunakutana na majanga wengi mko vizuri kwahiyo inaonekana mambo shwari? Devide and Rule!
Okay 👍Akili Yako ndogo haiwezi kung'amua haya mambo
Ukataka uanze kuichamba😂
Nnauye karudi MkuuNepi ndio nini Mkuu?
Wanatufanyia hujuma ya wazi wazi kabisaHata me limenishangaza. Nikajua labda simu yangu ipo full. Hapa tangu jana nna kazi ya kufuta mapicha na maclip gallery najua ndio yananizonga. Nikoangalia mnara unasoma 5G lkn hamna kitu. Jf ndio kabisa ukiingia mtandao upo very slow