Mtandao umekuwa wa kimagumashi mpaka utumie VPN kuna nini?

Nchi za Afrika hasa Kusini mwa jangwa la Sahara viongozi wengi wanawaza namna ya kusalia na kupenya kwenye chaguzi.

Hii inapelekea kutumia mbinu nyingi haramu kuhujumu mazingira yanayowapa ugumu kushinda.

Internet kwa Dunia ya Sasa ni hitaji muhimu katika jamii.
 
Nimeleta uzi jana kulalamikia jambo hili... Nilikua nimeacha kuangalia video za pilau ila jf imefanya nirudi kuzichek tena sababu nimedownload VPN kwajili ya jf nikaona nicheki na video zetu kidogo.

Melo atanifidia kwa hili ☹️
Uzi ulioleta wewe si wa tubepesa??😅😅😅
 
Viongozi na mtandao wa yas vinahusiana Nini???

Anyway
 
Nlishawatukana yas matusi yote kumbe ni tatizo la wote, nimenunua bundle kubwa nifanye kazi yangu fulan nothing has been moving..WTF is wrong with this country ?
 
Nepi imerudi
 
Kila Mtandao Wengine Wanajaribu Kubadili Search Engine
Google
Ducks Ducks Go
Privacy Wall
Unaacha Ile Inayotumia .com Unajaribu Ile Inayotumia .org

Ila Bado
 
Hata me limenishangaza. Nikajua labda simu yangu ipo full. Hapa tangu jana nna kazi ya kufuta mapicha na maclip gallery najua ndio yananizonga. Nikoangalia mnara unasoma 5G lkn hamna kitu. Jf ndio kabisa ukiingia mtandao upo very slow
 
Hata me limenishangaza. Nikajua labda simu yangu ipo full. Hapa tangu jana nna kazi ya kufuta mapicha na maclip gallery najua ndio yananizonga. Nikoangalia mnara unasoma 5G lkn hamna kitu. Jf ndio kabisa ukiingia mtandao upo very slow
Wanatufanyia hujuma ya wazi wazi kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…