Mtandao wa Alibaba umekuwa na matapeli wengi

chizcom

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
8,680
Reaction score
18,035
Kwa nini China inashindwa kudhibiti mtandao huu Alibaba kwa sasa! soko kubwa lipo china ndio chimbuko la mtandao huu?

Yani kama ufahamu ujuzi wa kutumia mtandao huu,unaweza kulia kilio cha mvua kabisa.

Alibaba kama china na tajiri wao isipoweza kuzibiti basi kunaweza kusababisha china na wawekezaji kuonekana wahuni wote.

Matoleo ya alibaba na utapeli kwenye mitandao ya kijamii yamekuwa kasi kwa kulalamikiwa kuhusu biashara.

Mfano bei iliyo wekwa na mapatano inakuwa kitu kingine.

Kampuni kuwa na utambulisho wa kuuza vitu vibovu au kupigwa kabisa.

Brand zilizopo na sio zinazalisha kama unavoziona.

Makampuni kupewa zamana kukubalika na kutoa huduma mbovu.

Tunaendelea.
 
Nimewahi kutumia mtandao huu kupata huduma mara mbili. Bidhaa ilifika kama ilivyotarajiwa, changamoto, ni wauzaji kulalamika hela niliyowatumia haikufika yote. Niliwatumia risiti zote za kibenk wakabaki wanashangaa na wao wakanitumia za kwao nikabaki nashangaa .

Nilitumia T/T money transfer, mwisho wa siku nilihisi ingawa sina ushahidi, yawezekana SWIFT kipindi hicho walikuwa wanahujumu biashara ya China kwa kuvuruga makubaliano pesa ya wauzaji na wanunuzi!
 
Naoana matapeli wamezidi, kwasasa inahitajika umakini wa hali ya juu sana.
 
Hao alibaba kila nikitaka kuagiza mzigo nafsi inanikimbiza mpaka natoka nje ya box, kuna haja ya walio tapeliwa waje na updates hapa.
 
Kwa nini China inashindwa kudhibiti mtandao huu Alibaba kwa sasa! soko kubwa lipo china ndio chimbuko la mtandao huu?

Yani kama ufahamu ujuzi wa kutumia mtandao huu,unaweza kulia kilio cha mvua kabisa.

Alibaba kama china na tajiri wao isipoweza kuzibiti basi kunaweza kusababisha china na wawekezaji kuonekana wahuni wote.

Matoleo ya alibaba na utapeli kwenye mitandao ya kijamii yamekuwa kasi kwa kulalamikiwa kuhusu biashara.

Mfano bei iliyo wekwa na mapatano inakuwa kitu kingine.

Kampuni kuwa na utambulisho wa kuuza vitu vibovu au kupigwa kabisa.

Brand zilizopo na sio zinazalisha kama unavoziona.

Makampuni kupewa zamana kukubalika na kutoa huduma mbovu.

Tunaendelea.
Alibaba siyo kampuni ya Jamhuri ya watu wa China bali ni kampuni ya tajiri no. 1 nchini China aitwaye JACK MA.
 
Amekosana na utawala sasa hivi anaipata fresh. Jana nimeona ndani ya miezi kadhaa keshapoteza billion kadhaa za dollar. Washaanza kumpa shida na siku hizi haonekani
 
Duh..kumbe kashazingua!
 
Duh..kumbe kashazingua!
Kuna speech aliitoa beijing kwenye kongamano la wafanyabiashara design akawa anaikosoa serikali, baada ya hapo makampuni yake yamepigwa penalties za kutosha, kuna moja ya kampuni yake ya masuala ya finance ndiyo ilikuwa kubwa duniani ikafungwa, yeye mwenyewe hajulikani aliko
 
Amekosana na utawala sasa hivi anaipata fresh. Jana nimeona ndani ya miezi kadhaa keshapoteza billion kadhaa za dollar. Washaanza kumpa shida na siku hizi haonekani
Alibaba siyo kampuni ya Jamhuri ya watu wa China bali ni kampuni ya tajiri no. 1 nchini China aitwaye JACK MA.
Investor mkubwa na baadae shareholder mkubwa wa Alibaba ni Softbank, sasa hivi ni Tsai

Sema naona kama waliusoma mchezo mapema wameuza Hisa za kutosha hao Softbank.

Hivyo si MA peke yake anaerun hii Biashara, yeye ni maarufu sababu alikua Ceo pia.
 
Lakini naona alibaba wamepoteza pesa nyingi kwa kupigwa faini toka Jack alipotoa ile speech. It seems kwasasa hayuko sawa na serikali.
Nasikia in china ukikosana na serikali unaweza potea tu kumbe ushafungwa
 
Kuna speech aliitoa beijing kwenye kongamano la wafanyabiashara design akawa anaikosoa serikali, baada ya hapo makampuni yake yamepigwa penalties za kutosha, kuna moja ya kampuni yake ya masuala ya finance ndiyo ilikuwa kubwa duniani ikafungwa, yeye mwenyewe hajulikani aliko
Yah. Alibaba ni group of companies. Kumbe ndani ya Alibaba kulikuwa na kampuni ya Finance. Nashukuru kwa maelezo mazuri mkuu.

Na akikaa vibaya atanyooshwa.
 
Mkuu naitaji kununua online lakini siwezi
Kuepuka usumbufu niliopata wa kulalamikiwa kuwa hela haijafika. Unatakiwa kuwa na account ya Bank of China ama kule kwenye money transfer ya wechat. Kwa hiyo ela utakuwa unazitoa kwenye account za hela zilizo China.

Kuhusu namna ya kununua mtandao wa alibaba umeweka utaratibu unaoeleweka kuutumia. Kikubwa uwe unajua kusoma na kuelewa pia kuandika lugha ya ama kiingereza ama kichina.
 
Shukran ila kikubwa kilichokuwa kinanitatiza ni jinsi gani naweza kupata mziho wangu hapa Tanzania
Unaponunua mzingo unapanga na muuzaji ni namna gani utaupata mzigo wako. Binafsi nilikuwa natumia DHL.
 
Nimewahi kutumia mtandao huu kupata huduma mara mbili. Bidhaa ilifika kama ilivyotarajiwa, changamoto, ni wauzaji kulalamika hela niliyowatumia haikufika yote. Niliwatumia risiti zote za kibenk wakabaki wanashangaa na wao wakanitumia za kwao nikabaki nashangaa .

Nilitumia T/T money transfer, mwisho wa siku nilihisi ingawa sina ushahidi, yawezekana SWIFT kipindi hicho walikuwa wanahujumu biashara ya China kwa kuvuruga makubaliano pesa ya wauzaji na wanunuzi!
Labda ungetumia mastercard au paypal,
 
Back
Top Bottom