Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Eti jamani 😁Nyooo! Kwahiyo tukioteshwa ndoto rohoni tusiseme?
Hahaha yaani ukweli ukisemwa watu instead of kuchukua hatua wanaongea ujinga, mjiangalie ...Mtandao wa Bloga Tanzania (TBN) umekemea vikali tabia inayoendelea kushamiri ya watu kujinadi kufanya utabiri kwa watu binafsi na baadhi ya viongozi kupitia mitandao ya kijamii, ukieleza kuwa vitendo hivyo vinakiuka Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi.
Kauli hiyo imetolewa leo August 11, 2025, jijini Dar es Salaam katika kikao kazi cha mafunzo ya mabloga kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, ambapo washiriki walikubaliana kuchukua msimamo wa pamoja kulinda maadili na weledi wa mawasiliano mtandaoni.
Mabloga hao wamezitaka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) na Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC) kushirikiana kuwasaka na kuwachukulia hatua kali wote wanaojihusisha na vitendo hivyo, wakisisitiza umuhimu wa kutekeleza sheria bila upendeleo.
View attachment 3438748
Wanahangaika bure yakianza kutokea ndo wataelewaNyooo! Kwahiyo tukioteshwa ndoto rohoni tusiseme?
Kwa kweli waache kuzua taharukiMtandao wa Bloga Tanzania (TBN) umekemea vikali tabia inayoendelea kushamiri ya watu kujinadi kufanya utabiri kwa watu binafsi na baadhi ya viongozi kupitia mitandao ya kijamii, ukieleza kuwa vitendo hivyo vinakiuka Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi.
Kauli hiyo imetolewa leo August 11, 2025, jijini Dar es Salaam katika kikao kazi cha mafunzo ya mabloga kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, ambapo washiriki walikubaliana kuchukua msimamo wa pamoja kulinda maadili na weledi wa mawasiliano mtandaoni.
Mabloga hao wamezitaka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) na Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC) kushirikiana kuwasaka na kuwachukulia hatua kali wote wanaojihusisha na vitendo hivyo, wakisisitiza umuhimu wa kutekeleza sheria bila upendeleo.
View attachment 3438748
Kwa hiyo ukiota unaingiliwa kinyume na maumbile utasema pia??Nyooo! Kwahiyo tukioteshwa ndoto rohoni tusiseme?
Ukiwatazama tu hao Wajumbe unagundua mpaka Oktoba nusu yao watakuwa Wamekufa.Mtandao wa Bloga Tanzania (TBN) umekemea vikali tabia inayoendelea kushamiri ya watu kujinadi kufanya utabiri kwa watu binafsi na baadhi ya viongozi kupitia mitandao ya kijamii, ukieleza kuwa vitendo hivyo vinakiuka Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi.