Mbona kwangu hakuna matata kamanda.Tusubiri maoni ya GT
Kwenu Tanzania daima:
Ni siku ya sita sasa kila nikifungua mtandao wa Tanzania Daima(Tanzania Daima - Sauti ya Watu) naona una virusi.
Nimejaribu kompyuta tatu tofauti naona tatizo ni hilohilo, Hili tatizo halikuwepo siku za nyuma.
Nimeweka hapa hili tangazo hili mrekebishe hilo mkiweza.
Sijawatumia e-mail moja kwa moja, kwa sababu hakuna e-mail yeyote niliyoishawahi kutuma (kwa miaka 2 sasa) nikajibiwa hata zile nilizotoa information muhimu kabisa.
Hii sina tatizo nalo nilishaconclude kuwa mna poor customer care!
waberoya
Sidhani kama hiyo email ya freemedia wanaitumia. Watumie kwenye daimanews@yahoo.com au mtumie mhariri kupitia absakib@yahoo.com. Kwani web manager wao ni nani? Maana wanachelewa sana ku-update!
PM
Watakua hawajalipia domain fee
afadhali wewe hata hiyo umeona mimi sijawahi kuona sura ya Tanzania Daima toka mwezo October 2008, haifunguki kabisa. nimekwenda hata internet bar bila mafanikio.
Mimi kila nikiattempt kufungua nakumbana na virus !!
Thanks mkuu Mfumwa. Nimejaribu kuifungua website hiyo huku nikiwa nimeongeza /daima mbele ya link niliyokuwa naitumia, na imefunguka vizuri tu bila alert yoyote ya virus. That's why I like JF !! Ila inabidi jamaa wamuambie webmaster wao awe anaupdate news, lakini sijui, huenda ni swala la kibiashara zaidi!