Opaque
JF-Expert Member
- Oct 24, 2008
- 1,359
- 726
Mkuu Buswelu, hoja ya kuwapo kwa virus katika website ya Tanzania Daima iliwahi kujitokeza mwanzoni mwa mwaka huu katika thread ambayo link yake nitakuwekea hapa chini. Wapo waliotoa mapendekezo, maybe ukisoma itakusaidia. Link hiyo iko hapa:
https://www.jamiiforums.com/habari-hoja-mchanganyiko/23381-kunani-tanzania-daima.html
https://www.jamiiforums.com/habari-hoja-mchanganyiko/23381-kunani-tanzania-daima.html