Opaque JF-Expert Member Joined Oct 24, 2008 Posts 1,359 Reaction score 726 Feb 5, 2009 #21 Mkuu Buswelu, hoja ya kuwapo kwa virus katika website ya Tanzania Daima iliwahi kujitokeza mwanzoni mwa mwaka huu katika thread ambayo link yake nitakuwekea hapa chini. Wapo waliotoa mapendekezo, maybe ukisoma itakusaidia. Link hiyo iko hapa: https://www.jamiiforums.com/habari-hoja-mchanganyiko/23381-kunani-tanzania-daima.html
Mkuu Buswelu, hoja ya kuwapo kwa virus katika website ya Tanzania Daima iliwahi kujitokeza mwanzoni mwa mwaka huu katika thread ambayo link yake nitakuwekea hapa chini. Wapo waliotoa mapendekezo, maybe ukisoma itakusaidia. Link hiyo iko hapa: https://www.jamiiforums.com/habari-hoja-mchanganyiko/23381-kunani-tanzania-daima.html