Bengalisis JF-Expert Member Joined Jun 8, 2018 Posts 1,847 Reaction score 2,768 May 28, 2020 #21 Uko sahihi, halotel siku hizi wamekuwa maharamia balaaaa
Mr Devil JF-Expert Member Joined Jul 7, 2019 Posts 12,445 Reaction score 27,920 May 28, 2020 #22 Halotel Zamani ilkua niki weka GB 1 .natumia adi najishtukia mbona haiishi tu..lakini saivi naichungulia kila mda kama bado ipo make sio poa SUBIRI KIDOGO
Halotel Zamani ilkua niki weka GB 1 .natumia adi najishtukia mbona haiishi tu..lakini saivi naichungulia kila mda kama bado ipo make sio poa SUBIRI KIDOGO
Nizzoh824 JF-Expert Member Joined Apr 27, 2016 Posts 239 Reaction score 140 May 28, 2020 #23 Dooh! Nlizan labda me ckuhz natumia vbaya hawa jamaa sahizi hatar sana
Mbishi Uswazi Senior Member Joined Feb 7, 2020 Posts 170 Reaction score 315 May 28, 2020 #24 Wapumbavu sana Asubui nilikua na Mb 100 nikaingia jf kama dk 5 Wakanitumia sms Umebaki na Mb 20 baada ya dk 2 eti Mb zako zimeisha, shezy sana ni wezi wa kutupwa
Wapumbavu sana Asubui nilikua na Mb 100 nikaingia jf kama dk 5 Wakanitumia sms Umebaki na Mb 20 baada ya dk 2 eti Mb zako zimeisha, shezy sana ni wezi wa kutupwa