Mtandao wa halotel umeanza kufyonza data bundle kama kunguni

Mtandao wa halotel umeanza kufyonza data bundle kama kunguni

Halotel Zamani ilkua niki weka GB 1 .natumia adi najishtukia mbona haiishi tu..lakini saivi naichungulia kila mda kama bado ipo make sio poa

SUBIRI KIDOGO
 
Dooh! Nlizan labda me ckuhz natumia vbaya hawa jamaa sahizi hatar sana
 
Wapumbavu sana Asubui nilikua na Mb 100 nikaingia jf kama dk 5 Wakanitumia sms Umebaki na Mb 20 baada ya dk 2 eti Mb zako zimeisha, shezy sana ni wezi wa kutupwa
 
Back
Top Bottom