Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,386
- 2,833
πππpisi TenaHiyo tekenolojia utufanyie na wepesi kwenye kupata piss zilizopo karibu alooooo....π
Pia msisahau iweze kutukutanisha wala game...π
Basi tunasubiri utekelezaji tu...π«
View attachment 3579068ecg
Mtandao wa jamii forums ambao uliachiwa Toka mwaka 2006, imekua ni mtandao wa kipekee unaokutanisha vijana kujadili mambo mbalimbali kuhusu Teknolojia, Siasa, maisha, upendo nk.
Sasa katika kuendana na Mitandao ya kijamii kisasa imekua ikileta feature mbalimbali za kisasa na kwa sasa iko mbioni kutambulisha feature mpya inaitwa Regional Communities".
Feature hii itaweza kufanya mambo kadhaa;
β Utaweza kuunda Forums au groups za nchi, mikoa au mji fulani mfano Dsm, Mwanza,Tanga nk.
β Watu wa ilo Groups wataweza kujadili kuhusu biashara za Karibu, Matukio (Events), Fursa za kazi nk.
View attachment 3579067
Feature hii itapatikana kwenye nchi kuanzia Tanzania, Uganda, Kenya, Rwanda, DRC, Zambia pamoja na Zimbabwe.
π‘ Faida zake
β’ utaweza kupata taarifa ya eneo lako moja kwa moja
β’ itakua rahisi kupata Wateja kama una biashara.
β’ inajenga jamii Halisi wa eneo fulani hivyo kupunguza matapeli mitandaoni.
Lakini mpaka sasa bado hawajatangaza itaweza kuachiwa lini ila inakujaβοΈ.
Mim nataka niwe group moja na binti kiziwi na Binti wa zamani niweze kuenjoy uzuri wao π€π€π€πππ₯Ήπ―
Woyoooπ₯³π₯³π₯³ kumbe nilikuwa mbele ya mudaaπ
Its so amazing kwamba mnakaa sehemu moja lakini kutokana na utambulisho bandia mnakuwa hamfahamiani kabisa... Halafu kinatokea kitu kidogo sana lakini chenye uzito wake.. Kisha mnafahamiana.
Mimi ni mkazi wa Msata kilingeni lakini muda mwingi huwa niko Mlandizi na Kibaha... Hebu tutoeni hofu tufahamiane kuna mengi ya kushirikishana.
Jr[emoji769]
- Mshana Jr
- Replies: 63
- Forum: JF Chit-Chats
Je kutakuwa na features zitakazotukutanisha wavuta bangi so that we can discuss vital potential issues pertaining national importance na kupanua wigo mpana kwenye mustakabal thabit wa taifa letu?View attachment 3579068ecg
Mtandao wa jamii forums ambao uliachiwa Toka mwaka 2006, imekua ni mtandao wa kipekee unaokutanisha vijana kujadili mambo mbalimbali kuhusu Teknolojia, Siasa, maisha, upendo nk.
Sasa katika kuendana na Mitandao ya kijamii kisasa imekua ikileta feature mbalimbali za kisasa na kwa sasa iko mbioni kutambulisha feature mpya inaitwa Regional Communities".
Feature hii itaweza kufanya mambo kadhaa;
β Utaweza kuunda Forums au groups za nchi, mikoa au mji fulani mfano Dsm, Mwanza,Tanga nk.
β Watu wa ilo Groups wataweza kujadili kuhusu biashara za Karibu, Matukio (Events), Fursa za kazi nk.
View attachment 3579067
Feature hii itapatikana kwenye nchi kuanzia Tanzania, Uganda, Kenya, Rwanda, DRC, Zambia pamoja na Zimbabwe.
π‘ Faida zake
β’ utaweza kupata taarifa ya eneo lako moja kwa moja
β’ itakua rahisi kupata Wateja kama una biashara.
β’ inajenga jamii Halisi wa eneo fulani hivyo kupunguza matapeli mitandaoni.
Lakini mpaka sasa bado hawajatangaza itaweza kuachiwa lini ila inakujaβοΈ.
Kijana jiangalie ππ€£π€£Mim nataka niwe group moja na binti kiziwi na Binti wa zamani niweze kuenjoy uzuri wao π€π€π€πππ₯Ήπ―
Si ndiooo! π
Mwenetu yatakushinda πHiyo tekenolojia utufanyie na wepesi kwenye kupata piss zilizopo karibu alooooo....π