Mtandao wa Kenya wasema Yanga Africans inatoka Ghana

Kwa jinsi hili litimu lilivyo libovu na linavyobebwa bebwa na marefa, ingekua ni aibu kwa Tanzania kulitaja hilo litimu lipo Tanzania. Mnyama pekee ndo anajulikana Kimataifa. Hahahhahahhahahhaha huu mchezo hauhitaji hasira.
we wamatopen unamAanisha yanga inabebwa mpaka CAF!!
 
Kwa jinsi hili litimu lilivyo libovu na linavyobebwa bebwa na marefa, ingekua ni aibu kwa Tanzania kulitaja hilo litimu lipo Tanzania. Mnyama pekee ndo anajulikana Kimataifa. Hahahhahahhahahhaha huu mchezo hauhitaji hasira.
Mkuu kumbe wewe hujajua, kukataa kuitaja Tanzania ni kuinyima ujiko nchi yetu. Kitendo cha kuitaja Ghana ni kuonesha kuwa nchi hiyo inastahili kuwa na timu kati ya hizo nane.

Mikia mtasikitika sana mwaka huu, endeleeni kulialia wakati sie wenzenu tunakata mawimbi hewani kwenda nchi za watu huku ninyi mkihangaika kutafuta spare parts za basi la Yutong ili muende mikoani.

Go go go Young Africans SC International.
 
Kaka Matusi ya nini! Sio kila hoja lazima kuwe na mihemuko..... Hili kwa kweli ni JANGA la kitaifa na sio MILA NA DESTURI ZA KITANZANIA..... Toka vikundi na Magenge ya wanaharakati yaruhusiwe yamehamasisha utamaduni usioukuwa na staha.... UKAWA/CHADOMO...hacheni mambo haya... Rudini kwenye misingi ya Kitanzania iliyowekwa na CCM ( Afro shirazi + TANU)
Umeanza vizuri lakini sentensi za mwisho umeharibu! Umeontesha unaongozwa na mihemko ya kisiasa zaidi!
 
Mkuu kumbe wewe hujajua, kukataa kuitaja Tanzania ni kuinyima ujiko nchi yetu. Kitendo cha kuitaja Ghana ni kuonesha kuwa nchi hiyo inastahili kuwa na timu kati ya hizo nane.

Mikia mtasikitika sana mwaka huu, endeleeni kulialia wakati sie wenzenu tunakata mawimbi hewani kwenda nchi za watu huku ninyi mkihangaika kutafuta spare parts za basi la Yutong ili muende mikoani.

Go go go Young Africans SC International.
dk mwaka nmeckia ameshawatumia wamatopen barua ya mwaliko kushiriki ndondo cup
 
Ukisangaa ya Musa utayaona ya Firauni. Leo katika taarifa ya habari ya Radio Free Afrika saa sita na nusu msomaji katuambia timu ya Esperanca ni ya Zambia!
 
Back
Top Bottom