Mtandao wa OPEN UNIVERSITY umevamiwa?

Mtandao wa OPEN UNIVERSITY umevamiwa?

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Jamani kwa wenye taarifa zozote toka majuzi tumejaribu kufungua mtandao wa open university bila mafanikio sijui una matatizo ama ndio yale yale .....
mwenye taarifa zaidi tutashukuru;
 
Jamani kwa wenye taarifa zozote toka majuzi tumejaribu kufungua mtandao wa open university bila mafanikio sijui una matatizo ama ndio yale yale .....
mwenye taarifa zaidi tutashukuru;

Yaleyale yapi?

Be specific mkulu! Si wote tunayajua au kuyakumbuka yaliyopata kujiri siku za nyuma, kuhusu chuo hiki.
 
Mwonee huruma asifike huko....
 
Back
Top Bottom