Msandawe Halisi
JF-Expert Member
- Nov 5, 2010
- 647
- 351
sawa.ni icho ndo ulichokiona uko masas?
au ulipenda kukiona na kusikia iki tu ?
asante.
Jana kwa dirisha la jirani yangu hapa Masasi nasikia. Siyo vizuri, Mbona kunuka hivyo, wewe uchikii kunuka Baa!! Ndio nini tenaa.
Nikajua yale yale. Jamani!! Huu mtandao mbona unaenea kwa kasi sana. Tutakiokoaje kizazi chetu, au ndio uwazi wa kidunia. Wiki ijayo nitasafiri Moshi na Arusha, Nitawapasha yatakayo jiri huko.
We Msandawe kweli.... usitusingizie, siye hatufanyi mambo hayo. Hicho ulichosikia kilikuwa na maana nyingine kabisa... unless uniambie kwua ulishuhudia
Huko Moshi na Arusha unakokwenda ni kuangalia watu wanavyo du ze nidifuli au??
Unaonyesha wewe unajua sana kupiga chabo.
Nimeviona vingi tu, kama dagaa mchanga, Tofauti ya dada wakichaga na hawa. Huku pesa siyo kila kitu, wanachekeshwa kidogo halafu wanashikwa mkono, wanamaliza. Na vingine vingi tu. Ila hiki tu, ndicho kilichonishangaza.
kwamba ako kamchezo ndo kamekushangaza kukaona ukoo?
ulizan mjomba nchumariiii atumii?
Nilijua hawa mayakhe wa Oman na Maskati wameueneza pwani ya Dar,Tanga na Zanzibar tu. Ukustajabu ya Musa, yawezekana Kigoma umeshafika tayari
:frog:
Hapana! Kutafiti yatakayo nishanganza huko
Kwenye ToR ya kazi unayokwenda kufanya huko hilo za kupiga chabo lipo? Namba ngapi??
La kupiga chabo alipo. Utafiti wangu ni wakusikia na kuhoji tu, kuona naogopa. Ukiona vitu vya ajabu sana hapa duniani. Umri wa kuishi upungua.
Hapo ni kusikia au kusikiliza???[/QUOTE]
Kusikia na Kusikiliza hamna tatizo. Tatizo kuona tu
Hapo ni kusikia au kusikiliza???[/QUOTE]
Kusikia na Kusikiliza hamna tatizo. Tatizo kuona tu
Haya nenda kafanye utafiti utuleetee majibu
usisahau ukitoka huko uende kanda ya kati Dom, singida
then kanda ziwa Mwanza, Bukoba unaweza weka na Musoma na Shinyanga au sio
Haya nenda kafanye utafiti utuleetee majibu
usisahau ukitoka huko uende kanda ya kati Dom, singida
then kanda ziwa Mwanza, Bukoba unaweza weka na Musoma na Shinyanga au sio
Nikitoka huko nitaelekea Bukoba! Nitaenda mpaka kwenye zile nyumba za kulala wageni za kule Muleba na Kiyka. Usijali, Nitakujuza na kuwajuza wana JF yatakayo juza huko.
Jana kwa dirisha la jirani yangu hapa Masasi nasikia. Siyo vizuri, Mbona kunuka hivyo, wewe uchikii kunuka Baa!! Ndio nini tenaa.
Nikajua yale yale. Jamani!! Huu mtandao mbona unaenea kwa kasi sana. Tutakiokoaje kizazi chetu, au ndio uwazi wa kidunia. Wiki ijayo nitasafiri Moshi na Arusha, Nitawapasha yatakayo jiri huko.
Sasa mzee wa chabo kuna ubaya gani kama wameridhiana kutumia rodo shilingi! Ile kitu haina harufu bwana, tena utafikiri pertume atiii! waanza jipaka hadi usomi dadadeki! huyo wala alikua hatumii ndo mana akahisi harufu!