Msandawe Halisi
JF-Expert Member
- Nov 5, 2010
- 647
- 351
Jana kwa dirisha la jirani yangu hapa Masasi nasikia. Siyo vizuri, Mbona kunuka hivyo, wewe uchikii kunuka Baa!! Ndio nini tenaa.
Nikajua yale yale. Jamani!! Huu mtandao mbona unaenea kwa kasi sana. Tutakiokoaje kizazi chetu, au ndio uwazi wa kidunia. Wiki ijayo nitasafiri Moshi na Arusha, Nitawapasha yatakayo jiri huko.