Ukatikaji wa mawasiliano katika mtandao wa smile kwa sasa limeanza kuwa jambo la kawaida sana. Kila wakati mtandao wao unapotea hewani na hawatoagi feedback yoyote unaporudi kwa wateja wao.
Ila pia kinachokwaza ni wizi unaoendelea kwa hivi sasa. Kwa mara kadhaa umeshawahi kupotea na bundle za wateja hazirudishwi wala wateja kulipwa bundle zao.
Always SMILE WANAPIGA KIMYA KAMA VILE HAWAJUI NI HELA ZA WATU WAMEKULA BURE BURE.
TCRA NA Serikali kwa ujumla tunaomba mliangalie hili swala la wizi kwa mtandao wa SMILE
Jamani hata mimi ni muadhirika wa Smile communication wameshaniibia zaidi ya sh 10000 na ukiwapigia simu yao # 0662 100 100 hawapatikani bado nikaingia kwenye chat room yao FB no response