Huu mtandao ni kero sana, watu wamekuwa wakilalamuka sanaMtandao wa Serekali TANepS hapatilani toka jana, mtandao huu ambao tender zote za serekali hupatikana kupitia mtandao huu imekuwa kero kubwa sana kwasababu wakandara na suppliers hutumia mtandao huu kupakuwa na kutuma tenda zao hali inayopelekea kuleta hofu.
Kinacho nishangaza ni ukimya wa tasisi usika kuka kimya bila kutolea ufafanuzi jambo hili, Juhudi zangu za kuwapigia kwa kutumia no za huduma kwa wateja hazikuzaa matumda baada ya ya namba hizo kutokupokelewa
Tusubiri mrejesho mzeeBila taarifa ndugu, kuna tender ambazo ilikuwa mwisho kuupload jana na leo itakuwaje?