Mtandao wa Telegram Tanzania una shida gani?

P J O

Senior Member
Joined
May 3, 2024
Posts
189
Reaction score
264
Wadau natumai mko vizuri.

Kwa siku tatu sasa mtandao wa Telegram umekuwa haufunguki na nahusisha na taarifa kuwa kuna changamoto ya kimtandao licha ya kuwa Mamlaka husika hazijareport chochote.

Telegram, imekuwa inaload tu Kwa siku ya nne sasa, kuna Nini kinaendelea?
 
Tumia VPN inafunguka.Nina wasiwasi na kinachoendelea, yawezekana mamlaka imefanya yake, sidhani kama kutofunguka kwake kunahusiana na kukamatwa kwa Durov.
 
Wadau natumai mko vizuri.

Kwa siku tatu sasa mtandao wa Telegram umekuwa haufunguki na nahusisha na taarifa kuwa kuna changamoto ya kimtandao licha ya kuwa Mamlaka husika hazijareport chochote.

Telegram, imekuwa inaload tu Kwa siku ya nne sasa, kuna Nini kinaendelea?
Mbona naangalia ngono hapa hausumbui
 
Back
Top Bottom