Mtandao wa Telegram Tanzania una shida gani?

Mtandao wa Telegram Tanzania una shida gani?

Wauza nyapu wanapata tabu sana

Ova
 
VPN sijui natumiaje ?

Nadonlod au nafanyaje?
Una download VPN, Nenda Google halafu search VPN, download yoyote itafanya kazi
1730991744334.png
 
kwa
Wadau natumai mko vizuri.

Kwa siku tatu sasa mtandao wa Telegram umekuwa haufunguki na nahusisha na taarifa kuwa kuna changamoto ya kimtandao licha ya kuwa Mamlaka husika hazijareport chochote.

Telegram, imekuwa inaload tu Kwa siku ya nne sasa, kuna Nini kinaendelea?
sasa bila kutumia VPN telegram utaisikia tu kwa majiranj imepigwa pini
 
Back
Top Bottom